Eneo lipo king’azi maeneo ya mbezi malamba, king’azi Dar es salaam,
Sifa za eneo husika
1. Maji na umeme vipo mpakani
2. Muuzaji ni mimi mwenyewe naishi hapohapo
3. Ukubwa wa eneo upana ni hatua 14 na urefu ni 24
4. Sehemu ni nzuri sana
Nitafute kupitia email yangu Email:
educationforbenefity@gmail.com