kula m5 fastaWakuu heshima kwenu,
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa 20 by 20 metres. kipo kimara bonyokwa, sio ndani sana. kipo njiani kabisa. kwa anaehitaji naomba ani pm. Bei maelewano mimi nilinunua 10m two years back.
contact: 0719223362
ahsanteni sana.
Wakuu heshima kwenu,
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa 20 by 20 metres. kipo kimara bonyokwa, sio ndani sana. kipo njiani kabisa. kwa anaehitaji naomba ani pm. Bei maelewano mimi nilinunua 10m two years back.
Kama wewe ulinunua 10m basi kwa sasa utauza 8m maana bonyokwa watu wanakukimbia