Nauza kiwanja kimara

kabasele

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
93
Reaction score
36

Wapi?
Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho).
Ukubwa?mita 40 kwa 20 (pamoja na eneo la bonde ambalo halijajumuishwa kwenye vipimo)
Bei? milioni 25
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Kipo barabarani (ya mtaa)
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
. Hakuna dalali
Mawasiliano? 0782 230159. Karibu..
 
haya ndio matangazo ya ukweli tunayo yataka mtu unaona kitu harisi.bravo.
 
Wapi?Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho).
Ukubwa? mita 40 kwa 20 (pamoja na eneo la bonde ambalo halijajumuishwa kwenye vipimo)
Bei? milioni 25
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Kipo barabarani (ya mtaa)
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
. Hakuna dalali
Mawasiliano? 0782 230159
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…