Nauza kiwanja kimara

kabasele

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
93
Reaction score
36



Wapi?
Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho).
Ukubwa? mita 40 kwa 20 (pamoja na eneo la bonde ambalo halijajumuishwa kwenye vipimo)
Bei? milioni 25
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Kipo barabarani (ya mtaa)
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
 
Mandhari yake mbona kinafanana na cha mjomba wangu?? Ngoja niingie Google earth nione kama ni chenyewe au la!!!! Otherwise, nipunguzie bei nina US $ 5000 za noti za mia mia!!
 
kumbe Kimara napo kuna "bei"!

 
Mandhari yake mbona kinafanana na cha mjomba wangu?? Ngoja niingie Google earth nione kama ni chenyewe au la!!!! Otherwise, nipunguzie bei nina US $ 5000 za noti za mia mia!!
Mama Mdogo bana anapenda sana utani!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeeleza kila kitu,hapa hakuna swali!labda ushushe bei kidogo!
 
Subiri kwanza part ya JF iishe ndo tujue salio letu
 
Sifa zoote inacho kasoro maji tu ndo hakuna.
 
Maji ya dawasco bado ila kuna network ya maji ya visima wanasambaza watu binafsi.
Unaunganishiwa na kuwekewa mita.

maji ya chumvi? hiyo mita ya dawasco?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…