asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1.
-Ukubwa wa kiwanja ni 20*20
-Bei Milioni 4.8
Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano
-Viko viwanja viwili nimekata kutoka kwenye Robo heka hivyo ninaweza kukukatia ukubwa tofauti kadiri unavyotaka lakini zaidi ya 20*20 ni lazima fedha iongezeka na ile tajwa huko juu.
SIFA ZA ENEO
-Eneo limejengeka majumba ya kufa mtu.
-Mitaa imetengenezwa kimpango yenye barabara za kukufikisha mpaka kiliko kiwanja.
-Umeme umefika
-Maji ya visima virefu maji matamu
-Hakuna tindiga wala maji kutuama wakati wa mvua.
-Eneo la kiwanja unachokatiwa na utakachotaka ukatiwe zaidi ni Tambarale
Kwa mawasiliano zaidi
0654846084
Kwa ajili ya kuona picha za kiwanja ama kufika sehemu husika. Eneo ni zuri sana nakuhakikishia hutajutia.