Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Karibu mkuuNimeona
Mkuu dalali sio Kazi kwani daah?zingatia neno dalali!
Kigamboni 50M.Habari wakuu
KIWANJA KINAUZWAA KIKO NDANI YA FENCE NI WEWE TU KUJENGA.
HAKINA MGOGORO WOWOTE.View attachment 3272022
KIGAMBONI MJI MWEMA.
SQM 900+
KARIBU NA LAMI
Bei Milion 50
Hati ipo
Kibali cha ujenzi kipo
📱0754693556
Hawanaga akilizingatia neno dalali!
0754693556Kigamboni 50M.
Mimi nina sqare metre 860 kule Mbezi Malamba Mawili si nitauza 60M kabisa?
Lakini ukita kitu cha kununua unawatumia madalali.Hawanaga akili
Bado sijakitafutia Hati.0754693556
Naomba picha Za eneo lako mkuu kama unauza.
Kiwe Na hati ya wizarani
Kigamboni hujaijua vzr....viwanja vina bei uko pamoja na nyumba za kupangaKigamboni 50M.
Mimi nina sqare metre 860 kule Mbezi Malamba Mawili si nitauza 60M kabisa?
Shukran kwa kufahamu Hilo mkuuKigamboni hujaijua vzr....viwanja vina bei uko pamoja na nyumba za kupanga
Kipo malamba mawili sehemu ganiBado sijakitafutia Hati.
Tutaongea nikishamaliza Hati nimeshaanza mchakatoKipo malamba mawili sehemu gani
Jirani unamjengea ghorofa Tu ili mambo yawe sawaHuyo jirani mbona mkorofi...sasa mambo ganinyakutumia fensi ya mawzio kama ukuta wa jengo lako anafu na ka ac kanachungulia kwenye kiwanja cha mwenzio.