Nauza kiwanja Kigamboni, Dsm

Nauza kiwanja Kigamboni, Dsm

Apex14

Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
49
Reaction score
10
Kipo kijaka kigamboni-Dsm
Nauza kiwanja kipo kijaka kigamboni Dsm,nje ya mji mpya wa kigamboni.ukubwa wa kiwanja ni 30x35 sqm. Kipo karibu na barabara kubwa inayotoka Daraja jipya la kigamboni kuelekea kiwanda cha saruji kimbiji. Hakijapimwa bei ni Tsh 5Ml nicheki 0715 419797
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom