Johnson_Siame
Member
- Apr 5, 2012
- 29
- 1
kiwacha cha heka moja, kipo kibaha kwa mathias upande wa kulia kama unatoka morogoro, barabara inafika kwa sababu ndo njia ambayo magari ya mchanga yanapita, bei ni shilingi million 4.5, siitaji dalali, kama upo tayari nipigie 0652-110878