Sasa jamaa kwani ukisema unauza kiwanja kwa shilingi kadhaa utapata shida gani, kwanini utangaze bei kwa square meter wakati kiwanja chenyewe kiko kimoja tu hapo? Si utaje bei ya kiwanja kama kilivyo.
Wenzako wanatangazaga bei kwa square meters sababu viwanja vinakuwaga vingi in a batch!