kiko umbali gan kutoka barabara ya kigamboni kongowe?Nauza kiwanja kiko sehemu nzuri sana na bei ni nzuri square meter 2000 . Karibuni sana.
weka number za mawasiliano au tuje PM ?Nauza kiwanja kiko sehemu nzuri sana na bei ni nzuri square meter 2000 . Karibuni sana.
Kweli bei nzuri.Asante kwa ushauri 85 Million. Punguzo ipo
Kweli bei nzuri.
Labda iwe millioni ya Zimbabwe..lakini kwa Tanzania hii ni bei ya nyumba.. Kibada haijafikia hapo..Asante kwa ushauri 85 Million. Punguzo ipo
Asante kwa ushauri 85 Million. Punguzo ipo