Namba ipo hewani mkuu sema kdg simu yangu imeharibika kdg upande wa camera ndo maana nimeshidwa kupata picha ila ni vzr zaidi tukienda ukapaone ili ujue uhalisia wa ukubwa,location,social services na kadhalika.Kiwanja kikubwa sana na hakika kinavutia, vipi mkuu na hiyo nyumba hapo kushoto inauzwa??? Namba yako hii inapatikana na whatsapp? Nimejaribu kupiga hupatikani.