Nauza kiwanja jijini Dodoma.

Nauza kiwanja jijini Dodoma.

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,128
Reaction score
4,028
Wakuu kwema?

Ni kiwanja chenye ukubwa wa 962 square meter kilichopo mtaa wa michese jijini Dodoma

Kiwanja kimepimwa na tiari ramani ya mtaa ipo kamili,kipo jirani na shule ya msingi michese na pia ni jirani na zahanati ya michese.

Huduma kama umeme,nguzo ipo jirani hvo ni kuvuta tu,maji ndo serikali inaweka mabomba na si mda sana maji ya uhakika yatapatikana..

Kiwanja kinauzwa bila udalali na bei yake ni 1.9 million(1.9M),karibu kwa maongezi
 
Kiwanja kikubwa sana na hakika kinavutia, vipi mkuu na hiyo nyumba hapo kushoto inauzwa??? Namba yako hii inapatikana na whatsapp? Nimejaribu kupiga hupatikani.
Namba ipo hewani mkuu sema kdg simu yangu imeharibika kdg upande wa camera ndo maana nimeshidwa kupata picha ila ni vzr zaidi tukienda ukapaone ili ujue uhalisia wa ukubwa,location,social services na kadhalika.

Karibu sana, nipigie simu au nitumie sms maana hii namba haipo whatsup.
 
Hakijapitiwa na SGR kweli?
Hapana mkuu,ndo maana nimesema ramani ya mtaa ipo,hvo kama utakuwa tiari kuchukua mm na ww tutaenda kujiridhisha kwa watu wa ardhi kwa kucheki ramani zima...
 
Bado kipo ..karibuni wakuu.
 
Njooni muone kiwanja safi kabisa...
 
Mkuu ofa yangu ni ml.1,300,000,kama upo tayari njoo inbox tuyajenge nije kukiona
 
Back
Top Bottom