Nick Kendrick
Member
- Jul 18, 2015
- 20
- 0
wewe ni Dalali au Mmliki?Kipo Goba karibu na shule ya msingi Tegeta A, kina ukubwa wa metre square 18 upana na 22 urefu milioni 4 mwisho.
0719592188/ 0782578576
Tafahali ustaarabu ni kitu cha bure, munuzi tu ndiyo anastaili kupiga na siyo dalali... kama siyo mteja usipige simu.
Wala usiwe na Shaka, sitakupigia ingawa Natafuta changu mwenyewe.Kipo Goba karibu na shule ya msingi Tegeta A, kina ukubwa wa metre square 18 upana na 22 urefu milioni 4 mwisho.
0719592188/ 0782578576
Tafahali ustaarabu ni kitu cha bure, munuzi tu ndiyo anastaili kupiga na siyo dalali... kama siyo mteja usipige simu.