Nauza kiwanja Dodoma

Nauza kiwanja Dodoma

nkwezi

Member
Joined
May 8, 2007
Posts
57
Reaction score
19
Kiwanja kipo msalato opposite na magereza 2,000,000. Ni robo eka umeme na maji yapo karibu.,
 
Kiwanja kipo msalato opposite na magereza 2000,0000. Ni robo eka umeme na maji yapo karibu.

Mkuu hembu andika kiwango Kwa maneno tafadhali maana kwa 2000,0000. Sijaielewa
 
2,000,000 (milioni mbili) ni typing error jamani mbona mnatomboka hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom