Nauza kiwanja Dodoma Mjini

Nauza kiwanja Dodoma Mjini

Benny13

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
32
Reaction score
6
Nauza kiwanja changu kilichopo eneo la Ilazo Dodoma, kimepimwa na kina hati miliki na hakina mgogoro wa aina yoyote, kipo sehemu nzuri Sana huduma za maji na umeme zimefika mita zisizozidi kumi kutoka katika kiwanja hiki, kina ukubwa wa square meter 639. Umbali kutoka barabara kuu ya Dodoma- Dar es salaam ni kama 1.5km. Bei yake ni Milioni 12 lakini mwenye pungufu pia tuwasiliane ili tuone kama Kuna uwezekano au la...Nimeamua kukiuza kwa sababu nimehamia mkoa mwingine kikazi, hivyo nimeghairi kujenga Dodoma. Ndugu zangu nawaomba wateja ambao wapo serious tuwasiliane kupitia 0718-964346 au 0759-017005.Ahsanteni
 
Tunaomba utuwekee picha ya eneo hilo
Usijali ndugu kesho ntaweka picha ya eneo husika, kwa bahati mbaya nilipofika katika kiwanja husika simu yangu haikuwa na chaji kutokana na kukatika kwa umeme. Ahsante
 
Jana niliwaahidi Leo nitaweka picha za kiwanja husika na picha zenyewe ndio hizi ndugu zangu..
 
Attachments

  • WP_20150318_001.jpg
    WP_20150318_001.jpg
    668.3 KB · Views: 596
  • WP_20150318_007.jpg
    WP_20150318_007.jpg
    709.1 KB · Views: 604
  • WP_20150318_027.jpg
    WP_20150318_027.jpg
    521.9 KB · Views: 564
Kipo ilazo ipi? north,south,west au east!! maana ilazo ya north eneo lake lina udongo mbaya ukijenga nyumba zinapasuka hovyo had inakera
 
Jana niliwaahidi Leo nitaweka picha za kiwanja husika na picha zenyewe ndio hizi ndugu zangu..
Atakayenunua hapo atakua jirani yangu, karibu sana!, very potential area hapo mahali
 
Atakayenunua hapo atakua jirani yangu, karibu sana!, very potential area hapo mahali
Ni eneo zuri Sana, yaani nilikuwa napavutia kasi nijenge lakini mambo ndo yameingilia Kati, hivyo nazidi kuwakaribisha ndugu zangu kiwanja bado kipo. Karibuni sana
 
Ni eneo zuri Sana, yaani nilikuwa napavutia kasi nijenge lakini mambo ndo yameingilia Kati, hivyo nazidi kuwakaribisha ndugu zangu kiwanja bado kipo. Karibuni sana
Paweke kiporo mkuu unless u need the money urgently, Ilazo ni sehemu moja nzuri sana na inajengeka kwa kasihasa hapo maeneo yako, hakujai maji tofauti na kule west mvua ikinyesha mtafutano! North udongo mfinyazi ikipiga mvua halafu pakauke utashangaa mipasuko ya ardhi!
nawapigia debe wadau kiwanja kipo mahali pazuri sana, Kimbinyiko akishusha biashara zake hapo mbele njia panda sijui itakuaje!, CDA nao wakitukumbuka kutumwagia lami kama za kule mitaa ya kisasa basi ilazo patakau mahali adhimu hapa dodoma, kila la kheri mkuu
 
Paweke kiporo mkuu unless u need the money urgently, Ilazo ni sehemu moja nzuri sana na inajengeka kwa kasihasa hapo maeneo yako, hakujai maji tofauti na kule west mvua ikinyesha mtafutano! North udongo mfinyazi ikipiga mvua halafu pakauke utashangaa mipasuko ya ardhi!nawapigia debe wadau kiwanja kipo mahali pazuri sana, Kimbinyiko akishusha biashara zake hapo mbele njia panda sijui itakuaje!, CDA nao wakitukumbuka kutumwagia lami kama za kule mitaa ya kisasa basi ilazo patakau mahali adhimu hapa dodoma, kila la kheri mkuu
Nashukuru Sana mkuu kwa support yako kwa kutoa more details about ILAZO South, nilipanga nikiache kwanza kiwanja hiki mpaka ntakapomaliza ujenzi niliouanza mkoa niliohamia kikazi lakini niwe muwazi nimefika sehemu nimekwama hivyo sina budi kukiuza kiwanja hiki ili nimalizie ujenzi nliouanza niweze kuepuka tabu za nyumba ya kupanga.Atakaekinunua hatojuta kwani ni sehemu inayoendelea haraka, imepangiliwa vyema, huduma za umeme na maji zipo, inatazamana na barabara, pia sio mbali na barabara kuu ya Dar ambapo kando ya barabara hii Kutakuwa na huduma mbalimbali km walivyoanza kina Perugina, Kimbinyiko etc...Karibuni Sana Uwahi fursa zinazopatikana Ilazo
 
Bado kipo, kwa wanaohitaji tuwasiliane kwa namba hizo nilizoziweka hapo juu.
 
Nauza kiwanja changu kilichopo eneo la Ilazo Dodoma, kimepimwa na kina hati miliki na hakina mgogoro wa aina yoyote, kipo sehemu nzuri Sana huduma za maji na umeme zimefika mita zisizozidi kumi kutoka katika kiwanja hiki, kina ukubwa wa square meter 639. Umbali kutoka barabara kuu ya Dodoma- Dar es salaam ni kama 1.5km. Bei yake ni Milioni 12 lakini mwenye pungufu pia tuwasiliane ili tuone kama Kuna uwezekano au la...Nimeamua kukiuza kwa sababu nimehamia mkoa mwingine kikazi, hivyo nimeghairi kujenga Dodoma. Ndugu zangu nawaomba wateja ambao wapo serious tuwasiliane kupitia 0718-964346 au 0759-017005.Ahsanteni

Naomba namba ya kiwanja na block
 
Kwa maelezo zaidi nipigie 0759017005 au 0718964346. Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom