Baba Yvonne
Member
- Nov 2, 2016
- 16
- 6
Nauza kiwanja, kipo eneo linaitwa Italiani kabla haujafika Chanika, Limezungukwa na nyumba zilizoisha tayali, ni 20kwa 20. bei 3,000,000. Maelewano yapo. 0718571137, 0756528845
20kwa20 ni hatua au mita ?Nauza kiwanja, kipo eneo linaitwa Italiani kabla haujafika Chanika, Limezungukwa na nyumba zilizoisha tayali, ni 20kwa 20. bei 3,000,000. Maelewano yapo. 0718571137, 0756528845
kimepimwa,2.5 hauchukui mkuu..Nauza kiwanja, kipo eneo linaitwa Italiani kabla haujafika Chanika, Limezungukwa na nyumba zilizoisha tayali, ni 20kwa 20. bei 3,000,000. Maelewano yapo. 0718571137, 0756528845
Hakina mgogoro wowote, nipigie tuongee vizuri20kwa20 ni hatua au mita ?
Je hakina mgogoro wowote
kuwa mstaarab, anzisha uzi wakonami nauza kipo vianzi nauza m 3
Unaingia kushotoItalian unaingilia kulia au kushoto? Assume unatokea pugu
Mazungumzo yapoDaah ila hiyo bei kwa yale maeneo.Nazungumzia ukiingia kushoto kama unatokea Pugu
Ongea tufanye biasharaMazungumzo yapo
kina hati?Ongea tufanye biashara
Unapita ule mradi wa nyumba za PSPF?Unaingia kushoto
Hakijapimwakina hati?
Mbele ya mradiUnapita ule mradi wa nyumba za PSPF?
Chanika ni Dar ?Nauza kiwanja, kipo eneo linaitwa Italiani kabla haujafika Chanika, Limezungukwa na nyumba zilizoisha tayali, ni 20kwa 20. bei 3,000,000. Maelewano yapo. 0718571137, 0756528845
We Fala nini!Chanika ni Dar ?