kikulacho...
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 321
- 224
Mpigie simu umuulizeNi wapi huko? Weka picha
Sababu ya kuuza?Habari
Nauza kiwanja chenye hati Kigamboni - Changani beach
Size - Sqm 900+
Bei - 9 Milioni
Mawasiliano - 0753066664
Changani Beach- Amani GomvuNi wapi huko? Weka picha
Ni mbele ya kibadaChangani Beach ni mbele ya Kibada au Mji Mwema??
Nahamia kikazi ArushaSababu ya kuuza?
KM 1 hadi beachUmbali gani kutoka beach?
Mkuu upo chini sanaa ongeza pesa tufanye biasharaChukua milioni sita mkuu
Njoo tuongee biashara kwa bei hiyo.Nina kiwanja huko huko kigamboni nauzaChukua milioni sita mkuu