Nauza kiwanja Chanika Dar es Salaam

Nauza kiwanja Chanika Dar es Salaam

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,326
Reaction score
7,522
Habari wana Jf.

Bei ni 2.7mil maelewano yapo.

Ukubwa ni mita15*15.
Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika.

Huduma mhimu kama barabara na umeme vyote vipo.

Mteja unaruhusiwa kulipa kwa awamu mbili hadi tatu kulingana na makubaliano.

Karibuni,kuhusu mawasiliano tuwasiliane PM.
 
1 mil vip?
 
Chanika mjini ipi?/ umbali toka barabara ni kiasi gani?/ Mimi ni mkazi wa Chanika.
 
Kiwanja mwaka jana nimenunua 5mil sasa nauza 2.7 sipati mteja dah kuna nini kimetokea.
 
I'm interested, ila sipajui Dar Vizuri. Je, ni umbali gani na mjini(Maeneo ya posta). Nimesikia nikaribu na airport. Je can you post a few pics ama PM me a few pictures of the plot? Alafu kama ulinunua 5M, i think the price you are selling is fair. Ila since no sane business person will accept a certain price without a bargain, i'll try to negotiate to. But i won't lowball you, i'll respect your price.
 
Mkuu kutoka Posta hadi Chanika sio mbali sana japo sina uhakika ni kilomita ngapi.

Kuhusu bei za viwanja mwaka jana kuanzia Chanika Msumbiji kurudi mjini bei ilikuwa juu sana hata mita 20*20 ilikuwa kawaida kuambiwa 6mil lakini sasa mambo yapo kinyume chake ndiomaana mimi nimeamua kushusha bei.
 
Poa, basi tumalizie hili swala Inbox
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom