Nauza kiwanja changu

Mkuu mbona picha imepigwa kwa woga sana yaani kama unaoga nje vile hebu lete picha nzuri watu wakupe mihela. Also hapo tumeona kama njia ya kwenda hapo kwa jirani yako hebu fanya hivyo basi
 
Mkuu mbona picha imepigwa kwa woga sana yaani kama unaoga nje vile hebu lete picha nzuri watu wakupe mihela. Also hapo tumeona kama njia ya kwenda hapo kwa jirani yako hebu fanya hivyo basi
Haina shaka kiomgozi ngoja nifike leo eneo la tukio nipige tena picha.. Njia ipo tena kubwa tu ya kupisha hata na magari mawili, ukiridhia naweza kukupeleka eneo la tukio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…