Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Picha ya kiwanja sio necessary, kama unahitaji karibia inbox mkuu.Mbona hio country code sio ya Tanzania +258 na,hujaweka picha ya kiwanja
Vyuma vimekaza sana hivi sasa unaweza hata kumweka mkeo dhamana ili upate mkopo na hakuna mwenye pesa ya kukukopesha!Hongera mkuu mi ninacho Busweru wilayani miguu 48 kwa 30 nakiuza milioni 3 hadi leo sijapata soko
Hongera mkuu mi ninacho Busweru wilayani miguu 48 kwa 30 nakiuza milioni 3 hadi leo sijapata soko
Nitumie picha mkuu , tufanye biasharaHongera mkuu mi ninacho Busweru wilayani miguu 48 kwa 30 nakiuza milioni 3 hadi leo sijapata soko
wait nijipange , nitakutafutaHongera mkuu mi ninacho Busweru wilayani miguu 48 kwa 30 nakiuza milioni 3 hadi leo sijapata soko
Sema kata ya Buswelu mtaa wa NyamadokeNauza kiwanja changu, kipo mwanza mtaa wa buswelo maeneo ya Nyamadoke msikitini. Karibu ya barabara litokalo Igoma kwenda wilayani.
Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25 m.
Nakiuza kwa mil 5
Njoo PM nikusaidie kutafuta mteja ila nami lazima unipe % yanguwait nijipange , nitakutafuta
Hujakiuza nikutafte mkuu??Hongera mkuu mi ninacho Busweru wilayani miguu 48 kwa 30 nakiuza milioni 3 hadi leo sijapata soko