herieth raphael
New Member
- Oct 14, 2016
- 3
- 1
Nimepata matatizo,hivyo nauza kiwanja change kilichopo Nyegezi Mwanza Kata ya Luchelele,kiwanja kina ukubwa was 15 kwa 30,na kimepimwa,nauza milioni 4,kiwanja kipo km 3 toka chuo kikuu cha Saut na km 2 toka ziwani,mawasiliano yangu ni 0743024485