Nauza kiwanja changu mwanza

Nauza kiwanja changu mwanza

herieth raphael

New Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
3
Reaction score
1
Nimepata matatizo,hivyo nauza kiwanja changu kipo Mwanza-Nyegezi kkata ya Luchelele,kiwanja kimepimwa na kina 15 kwa 30,nauza milioni 4,kiwanja kipo kilomita tatu toka chuo cha saut mwanza na km mbili kutoka ziwani,Mawasiliano yangu ni 0743024485.asanteni
 
Umesema kiwanja kina hati sio? Matumizi gani inasoma kwenye hati.
 
Nimepata matatizo,hivyo nauza kiwanja changu kipo Mwanza-Nyegezi kkata ya Luchelele,kiwanja kimepimwa na kina 15 kwa 30,nauza milioni 4,kiwanja kipo kilomita tatu toka chuo cha saut mwanza na km mbili kutoka ziwani,Mawasiliano yangu ni 0743024485.asanteni

wewe ndo nilipigiwa simu kwamba ulikopa umeshindwa kulipa hivyo basi wanakikundi wanataka kuuza kiwanja chako kwa 2.5?!
 
kinafaa kwa kilimo hicho?,kwasababu nahitaj kulima viazi
 
Back
Top Bottom