Ngoja nikusaidie kumuita etwegeeeeee
Lagasi ipi mkuu? 😂😂😂Ni kama umetumwa vile kuua legasi![]()
Laki mbili nimnunulie mtu aliyeko huko aje kusaini na kuchukuwa kwa ajili ya kilimoNauza kiwanja changu kina ukubwa wa mita 70 x 70 (zaidi ya ekari moja) kiko karibu na barabara ya rami, karibu na hospitali ya rufaa ya chato, bei ndogo tu maelewano
Nauza kiwanja changu kina ukubwa wa mita 70 x 70 (zaidi ya ekari moja) kiko karibu na barabara ya rami, karibu na hospitali ya rufaa ya chato, bei ndogo tu maelewano
Nakushauri ujenge uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu afu uwakodishie utopolo. Utanishukuru baadaeNauza kiwanja changu kina ukubwa wa mita 70 x 70 (zaidi ya ekari moja) kiko karibu na barabara ya rami, karibu na hospitali ya rufaa ya chato, bei ndogo tu maelewano