chalabizo
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 216
Wana JF Nina matatizo yamenikabili mpaka shingoni hivyo nahitaji pesa kuweza kuyatatua na kusimama upya hivyo basi nimeamua kuuza kiwanja changu ambacho kipo Dodoma mjini mailimbili, kina ukubwa wa 60kwa 35 , kiwanja hiki kimepimwa na kina offer ila hati yake haijafatiliwa.
Bei maelewano tu
Bei maelewano tu