NAUZA KIWANJA CHA MAKAZI

ampo

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
71
Reaction score
32
Nauza kiwanja cha makazi kipo Singida mjini unyakumi karibia Na radio standard, maji Na umeme vimeshafika. Pia Huduma nyingine za kijamii zinapatikana kirahisi sana.
Bei ni milion tano mapatano yapo ukubwa wa kiwanja ni 30x35. Sihitaji dalali kwenye hili.
Kama unataka kujiona nitafute 0714359352 au 0764202064.
Karibuni.
 
Last edited by a moderator:
Tangazo zuri sana ila umeriharibu kwa kuto kuweka bei!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…