Nauza Kiwanja Bagamoyo Kiromo..

blackgold engineer

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Nauza kiwanja eneo la Bagamoyo Kiromo, sio mbali na Barabara kuu ya Dar Bagamoyo, kama mita 400 hivi kutoka barabarani,,ni uwanja ukubwa wa robo heka,bei ni milioni tano ...kwa mtu mwenye kutaka tafadhali tuwasiliane kwa namba 0712001067,,Ahsanteni..
 
mkuu weka maelezo yake stahiki na hata bei kama ikibidi.
 
Weka Bei Ndugu,Biashara za vificho nyingi zinakua za utapeli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…