Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,566 Mar 1, 2013 #1 Kiwanja kiko kwa MOROMBO 40 KWA 35, Bei 28m. Kukiona just ni-PM
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,932 Reaction score 53,955 Mar 1, 2013 #2 Kina hati na kimelipiwa ada ya kila mwaka?
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Mar 1, 2013 #3 Hiyo unayoita bei nafuu mkuu ni balaa kwa wengine. Ngoja waje madon wakate ofa hapa chap. Vile vile sema kabisa kama kina hati iki kuepuka maswali mengine na kama kinafikika kwa gari kirahisi au kama kinafaa zaidi kwa biashara n.k
Hiyo unayoita bei nafuu mkuu ni balaa kwa wengine. Ngoja waje madon wakate ofa hapa chap. Vile vile sema kabisa kama kina hati iki kuepuka maswali mengine na kama kinafikika kwa gari kirahisi au kama kinafaa zaidi kwa biashara n.k
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 620 Mar 1, 2013 #4 kwa mrombo kumi kwa 15 ni ml 4 hebu gawanya tuone huo unafuu wako.
A ahmed omar JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 270 Reaction score 220 Oct 4, 2021 #5 Unawauzia watalii kwa kiswali. Wa swahili tunanunua nyumba kabisa kwa hiyo bei kwa mrombo