Nauza king'amuzi cha Startimes

Nauza king'amuzi cha Startimes

Premium

Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
40
Reaction score
19
Nauza king'amuzi changu cha Startimes kwa elfu hamsini tu (50,000/=) nipo Moshi anaehitaji tuwasiliane 0655 609058
 
nitakuwa moshi j5,kama bado hujauza nitakichukua,ila jiandae kupunguza bei
 
Startimes! Wape watoto wachezee.

Yaaani sijui ni lini hivi vishumbushi vitaacha kutuibia chanel za bure kabisa eti wanatuuzia hembu wenzetu mlioishi nchi za wenzetu tuzibueni masikio kwani wao huwa wanafanyaje manake mpaka tuje shtuka tushaota mvi.
 
Nauza pia nipo Kimara Mwisho bei yangu ni Sh 45,000/= mobile yangu 0715 203386
 
Mbona hivi ving'amuzi vinauzwa sana humu?
Kulikoni?
 
Yaaani sijui ni lini hivi vishumbushi vitaacha kutuibia chanel za bure kabisa eti wanatuuzia hembu wenzetu mlioishi nchi za wenzetu tuzibueni masikio kwani wao huwa wanafanyaje manake mpaka tuje shtuka tushaota mvi.

Kishumbushi/ decoder ya ajabu sijapa kuona mara isikrachi hizo picha, Mara sauti iwe ya ajabu mtu akiongea km analia vile ni tabu kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom