Nimeku-PM namba yangu mkuu
kabla ya ku mpm kumbuka startime wanauza kipya kwa bei hiyo hiyo ya 40elfu
Si kweli mkuu! ving'amuzi vya startimes vinauzwa sh 60000 .
Kwa sasa kuna aina mbili ya ving'amuzi unachokisema wewe kile ambacho unalazimika kuwa unalipia kila mwezi husipolipia hata local chanel hupati. Lakini hiki ni kile cha bei ya 60000 kilichokuwa kinauzwa 79000.
Mi nauza cha kwangu 20000
Mmmh jaman chochonde habari hizi ziishie hapa hapa zisifike kitaa manake mimi chakwangu nilinunua 79,000 hlf nimepata mteja namuuzia 70,000 sasa akisikia vinauzwa 34,000 imekula kwangu
mimi nina cha ZUKU jamani nauza 50,000/= kingamuzi na dish lake.... tuwasiliane
Mkuu wanasema chanzo cha uongo ni ukweli!.
Nasisitiza vya 34000 ni vile ambavyo kila mwezi lazima ulipie. Lakini kuna ambavyo havina malipo kwalocal chanel ndo vilikua 79000 kwa sasa ni around 60000.Mara nyingi napatikana kariakoo nitaenda na mnunuzi wangu ofisi za star times pale msimbazi ajue kwanza bei then ndo nitamuuzia.
mkuu akija mteja serious atanunua,transcation ya 40k mpelekane mpaka ofisi za msimbazi ingekua mnauziana gari si mngeenda mpaka japan!
Mi nauza cha kwangu 20000