Naona umeamua kunipa na "FOR EXAMPLE" ya umbea wako, kwa kuwa tag hao jamaa. Sasa acha nikupe habar, huyo dadako
yna2 nikikua mkubwa nikawa RAIS wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, lazima nimpe Ukuu wa Mkoa au Unaibu Speaker au Uwaziri. [emoji6]
Ila sante shem kwa kunivua bukta, kwa kuwa tag hao watu. Nice to meet you too shem[emoji18]