Nauza Jeki

Mar 25, 2011
28
6
wakuu,

Nimefunga Container ambalo ndani yake kuna Jeki 100, kama kunamtu atahitaji iwe kwa jumla ama rejareja tafadhari naomba ani- PM.
Container litafika mwezi January.

Bei ni Tsh 10,000/-


Natanguliza shukrani
 

Attachments

  • jeki.jpg
    106.9 KB · Views: 166
wakuu,

Nimefunga Container ambalo ndani yake kuna Jeki 100, kama kunamtu atahitaji iwe kwa jumla ama rejareja tafadhari naomba ani- PM.
Container litafika mwezi January.

Bei ni Tsh 10,000/-


Natanguliza shukrani

Jeki za gari kubwa au ndogo?

We uko huku Sudan ya Kusini kama mimi au wapi?
 
Mi nahitaji moja but iwe na ule mpandishio wake, wheel spana ntatafuta.
 
mimi nahitaji nizipi H/drorck.au Kashata ???je namikono yake?? utapatikana wapi phone ple...
Ni scissor Jacks nadhani bongo mnaziita mkasi au kashata kama ulivyo sema! ni Pm email, number au mawasiliano yako yoyote ili zikifika nikushtue. kwa sasa bado nipo safarini sijajua nikifika bongo nitatumia number gani.
 
Unataka umnunulie mama Ngina!?, Mtambuzi ameshindwa kumridhisha? kwa kumnunulia jeki?
ati gari anunue dingi, afanyie service na kuweka wese full tank. Afu mzembe huyu achangie jeki (staki kuelewa anaongelea.jeki ipi)
 
Last edited by a moderator:
Kwanini unaniulizi kama nipo Sudan ya kusini? Ni kwa ajili ya magari madogo shekhe!
Kwasababu namimi naishi huku.

Lengo ilikuwa uwafahamishe wateja jeki zinapatikana wapi. JF inasomwa meneo mengi.

Tufanye kwa mfano shehe wangu, hizo jeki ziwe Songea afu mi niko huku, utanitumia kwa njia ya posta au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…