Nauza ipod

Nauza ipod

mrlonely98

Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
95
Reaction score
19
nauza ipod but bila ear phone
ni 64 gb bei nataka 350,000 ths ni cheap ukilinganisha na shop prize na haina any problem

nipo dar


IMG-20110106-00002.jpg IMG-20110106-00003.jpg
 
ina kiyoyozi? Ina cafeteria? Unataka 300,000 za noti au?

Watu wengine bana, huyu nadhani hata hajui Ipod Touch 64gb inatengenezwa na kampuni gani! Zipo za mchina kaka, zinaitwa iDod bei yake hata laki haifiki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom