nditi17 Member Joined Jun 26, 2016 Posts 46 Reaction score 22 Oct 13, 2016 #1 Habari wakuu? nauza simu aina ya Iphone 7 ina 32GB rangi yake ni rose gold ni mpya kabisa haijatumika, inakuja full box napatikana kwa namba 0752639172 na 067266456. Bei ni 1,900,000TZS
Habari wakuu? nauza simu aina ya Iphone 7 ina 32GB rangi yake ni rose gold ni mpya kabisa haijatumika, inakuja full box napatikana kwa namba 0752639172 na 067266456. Bei ni 1,900,000TZS
nditi17 Member Joined Jun 26, 2016 Posts 46 Reaction score 22 Oct 14, 2016 Thread starter #3 mohash luqman said: Bei gan Click to expand... 1.9M mkuu ni mpya haijatumika
kamanda wa makamanda JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 633 Reaction score 498 Oct 14, 2016 #4 tuwekee picha halisi ya simu sio hizo zilizopigwa na wenyewe
Goodluck Mshana JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 1,272 Reaction score 1,128 Oct 14, 2016 #5 Bei ya dukani hiyo mbona
AlP0L0 JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 6,878 Reaction score 5,600 Oct 14, 2016 #6 Duh! Nasubiri itoke iphone 8, ili ninue iphone 7.
nditi17 Member Joined Jun 26, 2016 Posts 46 Reaction score 22 Oct 14, 2016 Thread starter #7 kamanda wa makamanda said: tuwekee picha halisi ya simu sio hizo zilizopigwa na wenyewe Click to expand... Mkuu hata yenyewe halisi haiwez kuwa tofauti na hiyo,mteja ambae anahitaji anaiona kabisa then ndo utaona haina totaut na hiyo
kamanda wa makamanda said: tuwekee picha halisi ya simu sio hizo zilizopigwa na wenyewe Click to expand... Mkuu hata yenyewe halisi haiwez kuwa tofauti na hiyo,mteja ambae anahitaji anaiona kabisa then ndo utaona haina totaut na hiyo
nditi17 Member Joined Jun 26, 2016 Posts 46 Reaction score 22 Oct 14, 2016 Thread starter #8 Goodluck Mshana said: Bei ya dukani hiyo mbona Click to expand... Mkuu ni mpya hata haijafunguliwa
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,202 Reaction score 1,957 Oct 14, 2016 #9 nditi17 said: Mkuu ni mpya hata haijafunguliwa Click to expand... Kwa nini unaiuza? Hata kuishika tu---inakuwa imeshatumika
nditi17 said: Mkuu ni mpya hata haijafunguliwa Click to expand... Kwa nini unaiuza? Hata kuishika tu---inakuwa imeshatumika
nditi17 Member Joined Jun 26, 2016 Posts 46 Reaction score 22 Oct 14, 2016 Thread starter #10 KISHINDO said: Kwa nini unaiuza? Hata kuishika tu---inakuwa imeshatumika Click to expand... Naiuza kwa sababu mimi nahitaji Iphome 7 plus mkuu ndio maana hata sijataka kuitumia
KISHINDO said: Kwa nini unaiuza? Hata kuishika tu---inakuwa imeshatumika Click to expand... Naiuza kwa sababu mimi nahitaji Iphome 7 plus mkuu ndio maana hata sijataka kuitumia
kamanda wa makamanda JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 633 Reaction score 498 Oct 14, 2016 #11 nditi17 said: Mkuu hata yenyewe halisi haiwez kuwa tofauti na hiyo,mteja ambae anahitaji anaiona kabisa then ndo utaona haina totaut na hiyo Click to expand... we unafanya biashara au unatania?
nditi17 said: Mkuu hata yenyewe halisi haiwez kuwa tofauti na hiyo,mteja ambae anahitaji anaiona kabisa then ndo utaona haina totaut na hiyo Click to expand... we unafanya biashara au unatania?
nditi17 Member Joined Jun 26, 2016 Posts 46 Reaction score 22 Oct 14, 2016 Thread starter #12 kamanda wa makamanda said: we unafanya biashara au unatania? Click to expand... Nafanya biashara ndo maana nimeweza kuweka hapo na namba yangu ya simu, kama unahitaj kununua namba yangu ya simu,kama unahitaji nitafute.
kamanda wa makamanda said: we unafanya biashara au unatania? Click to expand... Nafanya biashara ndo maana nimeweza kuweka hapo na namba yangu ya simu, kama unahitaj kununua namba yangu ya simu,kama unahitaji nitafute.