Kwa hayo majibu aliyomjibu huyu muuzaji masikini sijui alivyosoma tu akafikiria nn kichwani mwake, maana haiingii akili hata kidogo biashara na ilo jibu
Dah! Nimejisikia vibaya sana as if mimi ndyo nimeambiwa, hakika ningekufahamu kwa sura tungewana majengo ya serikali mimi niende jela wewe uende mochwari/hospital.