Nauza iPhone 5s

Nauza iPhone 5s

waukweli12

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
11
Reaction score
5
Wadau Nina iPhone 5s nauza lakini iko icloud locked kwa bei nafuu saana 300,000tsh mazungumzo yapo lakini
 
uliiba wap iyo iphone ! i cloud ikifungwa imefungwa we fanya urudishe tu acha tamaa
 
Kama ni iCloud locked na hauna Apple ID hiyo ni ya wizi. Sana sana unaweza uza kwa mafundi simu kwaajili ya spea(screen, battery, na chassis)!
 
Acheni utoto ashakuambia imewekwa lock ya I cloud unanunua simu au kesi
Nunua tu ntapitia Msimbazi kukucheki
 
Leta Tsh 250k nikutolee iyo I cloud lock ili uuze bila shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom