J Jason91011 New Member Joined Jan 9, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Jan 9, 2012 #1 Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason
Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 521 Jan 9, 2012 #2 specifications????
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Jan 10, 2012 #3 Jason91011 said: Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason Click to expand... weka bei, na specification zake kama unauza kweli, ukitaka kwa njia ya simu waandikie sms watu kama wafanyavyo tigo.
Jason91011 said: Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason Click to expand... weka bei, na specification zake kama unauza kweli, ukitaka kwa njia ya simu waandikie sms watu kama wafanyavyo tigo.
Deodat JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 1,274 Reaction score 275 Jan 10, 2012 #4 Jason91011 said: Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason Click to expand... Pambaf...........sasa unaona ''phone 4s nyuepe mpya kwenye box lake'' ni maelezo tosha kabisa kumvutia mteja? Halafu kwanini usiweke hata bei ya kuanzia ili mtu ajipime mwenyewe kabla ya kupiga simu.
Jason91011 said: Nauza iphone 4s nyuepe mpya kwenye box lake, mnunuzi Wa uwakika anipigie simu 0717100474,bei majadiliano. shukrani. Jason Click to expand... Pambaf...........sasa unaona ''phone 4s nyuepe mpya kwenye box lake'' ni maelezo tosha kabisa kumvutia mteja? Halafu kwanini usiweke hata bei ya kuanzia ili mtu ajipime mwenyewe kabla ya kupiga simu.
K Kwameh JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 1,793 Reaction score 2,160 Jan 10, 2012 #5 Kwani iPhone 4S ziko ngapi?
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 2,950 Reaction score 2,480 Jan 10, 2012 #6 Kwameh said: Kwani iPhone 4S ziko ngapi? Click to expand... inategemea na wewe ulizinunua ngapi.
Doltyne JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 440 Reaction score 173 Jan 10, 2012 #7 Likwanda said: weka bei, na specification zake kama unauza kweli, ukitaka kwa njia ya simu waandikie sms watu kama wafanyavyo tigo. Click to expand... Hahahah, haki ya mungu umenivunja mbavu mkuu...
Likwanda said: weka bei, na specification zake kama unauza kweli, ukitaka kwa njia ya simu waandikie sms watu kama wafanyavyo tigo. Click to expand... Hahahah, haki ya mungu umenivunja mbavu mkuu...