Hata aina ya ipad, version, picha nk? bei je? mpendwa hiyo ni yako kabisa kabisa? mbona unakuwa na wasiwasi? tangaza sema bei zako watu wafanye comparison waone kama ipo sababu ya wao kununua mali hiyo na kwa bei hiyo, kama ni mpya "brand new" sema kama ni used pia sema. make ya wapi, nk. nadhani umetuelewa, dunia ya leo inataka transparence to the maximum maana hivyo vitu unavyouza viko madukani