Mwenda pole hajikwai
JF-Expert Member
- Oct 24, 2018
- 290
- 212
inafanyaje kazi?
Tatizo ni kuwa na batteries za kutosha kutoa umeme wa kutumika kwenye pasi, na pasi yenyewe iwe zile ndogo za 1KW. Pasi nyingi hasa za mtumba zinahitaji ujeme zaidi wa huo.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Inapatikana DSM
Bei tshs 200,000. Inauwezo wa ku run friji na Pasi ya umeme.
0693179844
Inabadili Umeme wa Betri volti 12 kuwa Sawa na Umeme wa nyumbani volti 240.inafanyaje kazi?
Ya nchi gani hiyo mkuuKama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Inapatikana DSM
Bei tshs 200,000. Inauwezo wa ku run friji na Pasi ya umeme.
0693179844
View attachment 932194View attachment 932192View attachment 932194View attachment 932192
ItalyYa nchi gani hiyo mkuu
ulinunua kama mtumba au dukaniItaly
NipigieMkuu chukua 170,000
Nna laki hapa.Inverter bado ipo
Njoo uchukue.Nna laki hapa.
twende pmNjoo uchukue.
Oktwende pm