Nauza huawei ascend y300 ipo in good condition haina mikwaruzo inamda wa miez miwili. Bei ni 160 tu.
Nauza huawei ascend y300 ipo in good condition haina mikwaruzo inamda wa miez miwili. Bei ni 160 tu.
Kwahiyo wewe uliuziwa 290 000? Duh!!!!Dukani ni Tsh. 290 000 kijana kuwa makini..
Dukani ni Tsh. 290 000 kijana kuwa makini..
km uliuziwa hvyo sina budi kusema walikuokota matangazo kila cku redion yanatangaza iyo bei na mm ninayo nimechukua kwa hyohyo bei 150k mkuu.
nenda tigo shop kwa uthibitisho.