Nauza hizi nyumba

naomba nimnunulie [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr nyumba mbili
 
Umempeleka wapi
kaka kwani ulishaona natembea na chura? naamin wewe unanifahamu kabisa mimi huwa msafi sana sitembei na vyura mimi. nimekuwa kichaa au kipofu? eboooo
 
kaka kwani ulishaona natembea na chura? naamin wewe unanifahamu kabisa mimi huwa msafi sana sitembei na vyura mimi. nimekuwa kichaa au kipofu? eboooo

Nilitaka nikusalimie tu
 
Maskini kifurushi changu cha data
 
Mwanza ndo wananunuaga makabuli au unautan na wasukuma
Nina maanisha kwasasa wasukuma ndio wenye pesa na mamlaka ya kiutawala hivyo anaweza kufanya lolote walitakalo na wanapenda vitu vizuri vizuri...wanapamba hadi baiskeli
 
Hizo ramani kwa milioni 9? Basi jenga mwenyewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…