masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,576 Reaction score 20,176 May 27, 2014 Thread starter #21 Desert Storm said: Hahahahhahahahahah nilijua utanikamata mhaya wa watu Click to expand... hahahaa poulee
Desert Storm said: Hahahahhahahahahah nilijua utanikamata mhaya wa watu Click to expand... hahahaa poulee
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,576 Reaction score 20,176 May 27, 2014 Thread starter #22 Sista said: kwa taarifa yako huwezi pata pesa nzuri kwa kuuza dhahabu iliyovaliwa. normaly ni busu bei. habari ndio hiyo Click to expand... ha ha ha habari ndo hiyo ha ha habari ndo hiyo alilala na bibi harisi siku moja kabla ya harusi na yeye sio bwana harusi IWE KUUZA HERENI
Sista said: kwa taarifa yako huwezi pata pesa nzuri kwa kuuza dhahabu iliyovaliwa. normaly ni busu bei. habari ndio hiyo Click to expand... ha ha ha habari ndo hiyo ha ha habari ndo hiyo alilala na bibi harisi siku moja kabla ya harusi na yeye sio bwana harusi IWE KUUZA HERENI
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,576 Reaction score 20,176 May 27, 2014 Thread starter #23 Jamaa_Mbishi said: Kuna jamaa anauliza hapa, umeziiba wapi? Anataka kumnunulia mkewe ila anaogopa damu za mwenye hizo heleni kumrudi mkewe. Anaomba ufafanuzi kama ni za wizi aachane na kukutafuta. Click to expand... hahhhaha nimeiba k.koo sijaua ila nimejeruhi
Jamaa_Mbishi said: Kuna jamaa anauliza hapa, umeziiba wapi? Anataka kumnunulia mkewe ila anaogopa damu za mwenye hizo heleni kumrudi mkewe. Anaomba ufafanuzi kama ni za wizi aachane na kukutafuta. Click to expand... hahhhaha nimeiba k.koo sijaua ila nimejeruhi
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,181 Reaction score 7,381 May 28, 2014 #24 masai dada said: hahhhaha nimeiba k.koo sijaua ila nimejeruhi Click to expand... Basi kwani yeye alitaka za uhakika si za kutoana damu.
masai dada said: hahhhaha nimeiba k.koo sijaua ila nimejeruhi Click to expand... Basi kwani yeye alitaka za uhakika si za kutoana damu.