Aha upo vikunai, punguza bei fanya 80k leo nalichukuaWakuu mishe niaje?
Mdogo wenu Sir Midabwada Nina kigodoro changu hapa nakiuza
Godoro jipya halijWahi KULALIWA hTa mar moj.
Bei 110,000
Aina ni Mbeya foam, Lina futi 5*6 INCHI 6.
Piga : 0628731833
Napatikana kijichi, mgeninani karibu na baa maarufu ya Kingazi
Kw Daresalaam deliver 5000 tu.
View attachment 2822874View attachment 2822875View attachment 2822876View attachment 2822877View attachment 2822878View attachment 2822879
kwani una ID moja mkuu?Hizo picha mkuu zna confidential content!. Mana ñingepiga lote mngeona na visivyokuwa godoro. Tumekubaliana jf Kila mtu doni