Kumbe hii nayo inaitwa ghorofa..!
Asante kwa uelewa wako finyu... Tazama ramani ya nyumba za MarekaniUlichemka ramani mkuu
Mtanzania aone kitu asiponde? Thubutu! Yaani tuna roho mbaya mpaka basi na hili linatukwamisha katika mambo mengi sana.Duu..! Wazee jamaa kasema anauza sasa mkianza ukosoaji sidhani kama ni sahihi sana kwakuwa kama ni kujenga kwa matamanio yake tayari keshafanya hivyo na sasa anauza
Kwani hii nyumba ipo Marekani mkuu?Asante kwa uelewa wako finyu... Tazama ramani ya nyumba za Marekani