M Mahoma Member Joined Jan 27, 2012 Posts 18 Reaction score 2 Sep 5, 2012 #1 Generator ndogo inauzwa DSM Aina: Apollo, AP3900 DXE, HP 5.5, Japan Technology. Hali yake: Jino moja tu inawaka. Ni kama mpya. Uwashaji: Inatumia Betri (Imekufa) na kamba ya kuvuta. Matumizi: Ina uwezo wa kuwasha fridge, pass, blender na taa bila shida. Mafuta: Petrol na tank lina uwezo lita 15. Bei: Tshs 630,000.00. Dalali hatakiwi kwa wahitaji, mawasiliano 0713 119 116 View attachment 63991
Generator ndogo inauzwa DSM Aina: Apollo, AP3900 DXE, HP 5.5, Japan Technology. Hali yake: Jino moja tu inawaka. Ni kama mpya. Uwashaji: Inatumia Betri (Imekufa) na kamba ya kuvuta. Matumizi: Ina uwezo wa kuwasha fridge, pass, blender na taa bila shida. Mafuta: Petrol na tank lina uwezo lita 15. Bei: Tshs 630,000.00. Dalali hatakiwi kwa wahitaji, mawasiliano 0713 119 116 View attachment 63991
Kibada Senior Member Joined Apr 5, 2012 Posts 122 Reaction score 17 Sep 5, 2012 #2 Inatumia kiasi gani cha mafuta kwa saa?Mlio wake mkubwa au mdogo?