Mkuu bastora tuwasilianePamoja na bastora
Kama umepost kimakosa fanya kuedit ili uifute usichanganye watu!Nmeipost kimakosa aise
Hio ya mkwala tu kama wewe jambazi lazima akutuwe mav*[emoji12]Iyo bastola bei gani mkuu?
Kv 7 kwa mil 3?Au unauza pamoja na bastola? You have made my day ndg. Nimecheka sana. Jf Burudaani japo tunaugulia kuzisoma nambario