Mwenzako yupo PM huko kwa wasio na longolongo...
In fact sasa hivi natafuta chopper nami niwe napasua anga kama kina Mbowe, kwa haya mafuriko ya Dar nimegundua gari halifai kabisa
bora umenijibia asante
Muuzaji uko wapi?
hiyo nayo itakuwa longolongo mkuu.
Wew si muuzaji,ila unatafuta wanachama wenzio wa longolongo m bishane.biashara matangazo
Wew si muuzaji,ila unatafuta wanachama wenzio wa longolongo m bishane.biashara matangazo
hizi ndiyo longolongo zenyewe sasa, kuleta siasa kwenye tangazo la watu!:baby:
Vipi wakuu kwani kunatatizo?
Msilumbane tufanye biashara gari bado hiko order wakuu
Hapana tatizo mkuu, ujue tunavyopost hivi tuna-Bump thread yako inakaa juu ya ukurasa. usihofu utauza tu kaka.
Itupia na hapa: https://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
Hapana tatizo mkuu, ujue tunavyopost hivi tuna-Bump thread yako inakaa juu ya ukurasa. usihofu utauza tu kaka.
Itupia na hapa: https://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
Yaani wewe daah
kula 4 kiongozi.
Ndio longolongo zenyewe hizo!!
Utaanguka mkuu kama kova na makamo wa raisi.
Kwani hili gari linaitwaje? Au linaitwa Longolongo maana nasoma comments nyingi zinazungumzia longolongo.