Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Mie mwene longolongo ngoja nipite ila kabla sijatoka sh ngapi mshua ili niconcile n gari yenyewe
Kama kichwa cha habari ukionavyo na gari yenyewe kama picha zinavyojielezea juu ya gari husika, ukiafiki tafadhari ni PM tufanye biashara.
Mkuu huko Japan na kwingineko magari yangekuwa yanauzwa kwa maelezo machache hivi, sijui kama wangekuwa wanapata wateja wengi vile
Hizi ndo longolongo zisizotakiwa :banghead::banghead::banghead:
Hizi ndo longolongo zisizotakiwa :banghead::banghead::banghead:
Hahahah...watu watanunuaje gari kwa kuangalia picha tu, ina maana halina specs
Kama huwezi kutoa maelezo ya kutosha basi inunue mwenyewe!
Hii nayo ni longolongo mojawapo hujasoma comment hapo juu kataja bei.
Anyway labda nkusaidie japo mie si muuzaji kasema 5.5m sasa unaweza kumuuliza is it negotiable or ???
Hahahah...watu watanunuaje gari kwa kuangalia picha tu, ina maana halina specs
Bwana weee acha longolongo we sema una sh ngapi.....
Ngoja aje aone longolongo unazomjazia humu
Hizi ndo longolongo zisizotakiwa :banghead::banghead::banghead:
Kama huwezi kutoa maelezo ya kutosha basi inunue mwenyewe!
Mwenzako yupo PM huko kwa wasio na longolongo...
In fact sasa hivi natafuta chopper nami niwe napasua anga kama kina Mbowe, kwa haya mafuriko ya Dar nimegundua gari halifai kabisa
kula 4 kiongozi.