Nauza gari aina ya toyota noah.cc 1990 ya mwaka 2004.latest model.rangi silver.aliye na nia apige simu no 0717585877.ni gari nzuri toleo la mwanzo.bei 10 m.
Bategereza latest model nina maana toleo la pili baada ya lile la kwanza.picha nashindwa kutoa maana utaalamu wa kutoa picha humu jf unanitatiza.