Nauza gari

Kiongozi tuku-contact kama muuzaji, wakala au dalali!
 
mods naomba muweke jukwaa la madalali humu.
 
Freelander unayo? bei gani?
 
unauza gari moja au una magari mengi?
we ni mzee wa cha juu (dalali) au direct business man?
 
Umeanzisha uzi vizuri, mbona hutoi majibu?

Hapa kila mtu anaweza kucoment awezavo
Najibu wale ambao wapo serious wanao itaji wanao ni pm,
 
Mimi nataka bedford ya mwaka 1977 yenye bodi pana engine CODE: LX120 zile zenye taa ndogo. Yenye gia 12. Nikipata ile ya tani saba na isiwe tipa.
 
Hapa kila mtu anaweza kucoment awezavo
Najibu wale ambao wapo serious wanao itaji wanao ni pm,

Please walau weka hata picha za gari unazouza basi mkuu ili tujue una maanisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…