ndio, ni 6 cylinders6 cylinders?
Mkuu kwema? Pole sana kwa msiba mzito wa mpendwa wetuIna kiu sana ya Mafuta hiyo
Mbona kama unaharibu biashara ya mtu purposely?Mkuu,
Kwa haraka haraka kama utampata mtu hata akiwa na 6M basi mshukuru Mungu mno.
Harrier no.A
Engine 2994cc (halafu huna haja ya kuhangaika kuandika 2994cc,andika tu 3.0 au six cylinders)
Mkuu, kama atatokea mtu hata kama anayo 5M na elfu hamsini chukua hela yake na namba yake ya simu mku.
Kimsingi hiyo gari ni kichefuchefu tena cha mjamzito.
Nenda Kigoma au Ngende,kuna waganga wazuri sana watakusaidia kuiuza hiyo gari.
Mkuu kwema? Pole sana kwa msiba mzito wa mpendwa wetu
hawa hawakosekani katika jamii, nafikiri angeiona kwanza angekua kwenye nafasi nzuri ya kuongea haya hata ingekua namba D.... kama haikutunzwa inavyopaswa haifai
Hizo ndio picha zake na mimi ndio naitumia kama utahitaji kuitizama kuhakikisha karibu sanaWeka picha za sasa hivi
Nimezingatia ushauri wako nimeuchukua positive zaidi,japo haitashuka 6.8 kutokana na Ubora ilio nao japo ni namba A.Pole na msiba tuendelee kuombolezaMkuu,
Kwa haraka haraka kama utampata mtu hata akiwa na 6M basi mshukuru Mungu mno.
Harrier no.A
Engine 2994cc (halafu huna haja ya kuhangaika kuandika 2994cc,andika tu 3.0 au six cylinders)
Mkuu, kama atatokea mtu hata kama anayo 5M na elfu hamsini chukua hela yake na namba yake ya simu mku.
Kimsingi hiyo gari ni kichefuchefu tena cha mjamzito.
Nenda Kigoma au Ngende,kuna waganga wazuri sana watakusaidia kuiuza hiyo gari.
So unataka watu wapigwe sio?
Hakuna mtu anapigwa acha kuharibu biashara za watu , mtu hanunui ama hailipii mpaka ameiona na kuikagua,hatuuziani kihuni na ni gari niliyokua naitumia mwenyewe , acha hii roho mbaya ya kuharibu haikupendezi.Kama kuna mambo yamekuvuruga sana pole ndugu lakini mambo mengine lazima yaendelee na nakuhakikishia nitaiuza kwa hii bei ya mwisho Mungu ni mwema.So unataka watu wapigwe sio?
Relax mkuu. Utaiuza ila ni vema mtu akajua sifa zote za anachotaka kukinunua. Sifa inaweza kuwa nzuri au mbaya.Hakuna mtu anapigwa acha kuharibu biashara za watu , mtu hanunui ama hailipii mpaka ameiona na kuikagua,hatuuziani kihuni na ni gari niliyokua naitumia mwenyewe , acha hii roho mbaya ya kuharibu haikupendezi.Kama kuna mambo yamekuvuruga sana pole ndugu lakini mambo mengine lazima yaendelee na nakuhakikishia nitaiuza kwa hii bei ya mwisho Mungu ni mwema.
Kweli,itauzika tuu hakuna kukwama.Hakuna mtu anapigwa acha kuharibu biashara za watu , mtu hanunui ama hailipii mpaka ameiona na kuikagua,hatuuziani kihuni na ni gari niliyokua naitumia mwenyewe , acha hii roho mbaya ya kuharibu haikupendezi.Kama kuna mambo yamekuvuruga sana pole ndugu lakini mambo mengine lazima yaendelee na nakuhakikishia nitaiuza kwa hii bei ya mwisho Mungu ni mwema.
Acha uchawi mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Weka picha za sasa hivi